Haya ni mavazi ya ofisini, kwa mwanamke inapendeza sana kuvaa sketi
fupi au ndefu na blauzi ya heshima iliyofunika kitovu chako, au suti ya
heshima na koti na hata suruali ambayo haijakubana sana inafaa sana kwa
ofisini.Na kwa upande wa mwanamme inapendeza sana kuvaa suti ya heshima na tai kubwa ambayo utaonekana kuwa kwenye muonekano mzuri.
No comments:
Post a Comment