Mavazi ya harusi

Mavazi ya harusi.hizi ni nguo ambazo wanavaa mabiharusi wanawake ikiwa kwenye aqdi,maulid,uradi au chai
Nguo hizi zinzwapendezesha sana mabiharusi wetu na kuonekana tofauti, kwa siku ile.kwenye aqdi tunapendelea sana kuwavisha mabiharusi wetu nguo za kijani.

No comments:

Post a Comment